High school life 🤭🤭
Kama ukiwa highschool hukuwahi fanya either of these huwezi sema ulimaliza io level😁😁:
1.Kureport late after opening.
2.Kuhepa some of the lessons.
3.Kuhaibishwa mbele ya assembly.
4.Kutofanya morning duties.
5.Kutoattend morning preps.
6.Kusneek.
7.Kukorofishana na mode.
8.Kupewa suspension.
9.Kuenda funkiee .
10.Kutumia mihadarati.
11.Kuattend church services na Kuswali .
12.Kupata C and below.
13.Kutumia mwakenya.
14.Malizieni....wenye tulipita hapo😁😁
Labels: All stories
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home