Sunday, July 24, 2022

BEI YA UNGA

 Hii Bei Ya Unga kupanda Nimeona Nitaumia vibaya sana Coz mm Hupenda kula sana😓 Nikaenda Soko Kwa grocery Nika buy Mahindi Kilo Hamsini✊ Nikapeleka Kisiagi 😎 Na nikapita kwa vichorochoro Ndio Nisionekane✌️Sisi maceleb Hatupendi Aibu💪 Kufika Kisiagi, Watu ni wengi Kama Msafara wa Wajakoya😂 Mtu wa Kisiagi Nikampea Thao Akanisho Change Nitachukua baadae, Nikaanza kuzunguka Mtaa ili Nikute Nimesagiwa, Kutembea Kidogo Nikakutana Na Crushie, Tukaanza Mastori. Huku nikimchapia mistari, Mrasta fulani Akapita Amebeba Unga Na Gunia Ikafanana Na ile yangu Niliacha Kwa Kisiagi😔 Sikumuuliza Ju Sikuwa Nataka Crushie Ajue Nilikuja Kisiagi😜✊ Bahati Mzuri Crushie Akanisho Anadai Kwenda, Ndio Nilirudi Mbio Kisiagi Nikakuta hadi kushafungwa, Nikafuata Yule Mrasta Mbio🏃‍♂️Kufika Kwao Nikakuta Ni baze ya mbogi genje 😂, Wakaanza Kuniuliza Nimekujia nn, Nikawasho Nataka maji ya kunywa😓 Wakanipa Ikabidi nirudi kwa plot, Huku nimeboeka Kama Wale wahenga Walikuwa wananusa Mavi ya kale Ndio Wajue kama yananuka😂 Kufika kwa Keja Landlord Akaanza kuniitisha Rental, Ju ya hasira na sikuwa na pesa Nikamtumia 20bob Alafu Nika reverse, Saii amenifungia Nyumba, Nangoja Kuwe usiku Nivunje Mlango nitoe vitu zangu Niende kwetu Ushago........

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home