Dem na chali chatting 😁😁😁
DEM: Niaje beb
BOY: Poa Swiry, nambie
DEM: Aky I need a favour from u pliz
BOY: Which one hun?
DEM: Aki niko tao na nimeona troza kali inauzwa 2k, na imagin nilisahau doh home.
BOY: So nikusaidiaje mrembo?
DEM: Nilikua nataka unitumie izo doh nitakurefund nikifika home.
BOY: Fare ya kwenda home ni ngapi?
DEM: Ni mbao Swiry.
BOY: (Kidogokidogo , KL295T6MHEN Confirmed, You have received Ksh.60 from HILTON EDWARD , New Mpesa balance is 60.83.
DEM: Ghai! Hii ni ya nini?
BOY: Hio ni fare, toa 50bob, chukua mbao ukimbilie doh zenye ulisahau home, Mbao urudi tao ubuy troza, alafu hio kumi unaeza buy mtura ama miwa.
DEM: UMBWA HII, Usiwahi nitext...Mchawi wa south korea wewe.. Ooh My! Like seriously? LMAO!!!
BOY: Kwenda huko, Sura kama ya mugabe , Nyani wewe! Nilipe rent ama ninunue nguo! POTELEA MBALI! NUGU!
wanaume sikuizi hawataki upuzi ,no weapon formed against our wallet shall prosper!!Amen..
..volume iko sawa??🥴🥴🥴
Labels: All stories, Love and social
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home