SIPENDI UJINGA
"SIPENDI
UJINGA MIMI"
1.Jana, nilikutana na boy fulani
akaniuliza
mbona nimekunja uso. ,nikamjibu,
nataka
kuiweka kwa Bag. Sababu mi sipendi
ujinga.
2.Juzi neighbor yangu alikuja
akaniambia
nipunguze sauti ya radio anataka
kulala.Jana
akipika chapoo na mimi nkamwambia
apunguze
harufu ya chapati nataka kula ugali.
Saa hii tuko
kwa landlord tunaongea hio maneno. Ju
sipendi
ujinga
3.Ushawahi katia mrembo sana mpaka
anakushow uende kwao akuna mtu
kufika
unapata pia yeye hayuko......KUMBE
HUYO
MREMBO HAPENDI UJINGA
4.Sasa polisi anatusimamisha eti juu
number
plate ya nyuma na ya mbele haifanani,
alafu
beshteangu anamuuliza kama uso yake
na
matako inafanana.......mi imebidi
nicheke sai
tuko central ndo napatiana simu, so
nitakua
mteja kiasi .Hata polisi kumbe
hawatakangi
ujinga.
5.Ex wangu amenicall kuitisha
earphones
zake..nmempelekea earphones nkachukua
simu
yangu..nmemwacha akiziconnect kwa
radio. Hata
mimi nmerealise sipendangi ujinga.
6.Nimeenda hosi kupimwa
ugonjwa,results kukam
doc ananisho ati choo yangu ni
mbaya....sai
najenga ingine, sipendingi ujinga mimi
7.Nlitoka rave 3am juzi.Kufika Moi
avenue taxi
ya home inalipisha 1500 na basi ya
kwenda
mombasa inalipisha 700,Nlienda
Mombasa na
700 nkarudi na 700 na nkabaki na
mia.sitakangi
ujinga mimi.
8.Mlevi anapanda gari alafu conda
anamuuliza"na
hii ulevi yako utaenda mbinguni
kweli"mlevi
akamjibu"kama mnaenda mbinguni
simamisha
gari nishuke Mimi naenda tu apa
ngara.......…..
.......PIA MLEVI HAPENDI UJINGA
9.Mtoi wa neighbour amenizoea sana.
nikimtuma kitu kwa duka anakula tu.
juzi
nilimtuma mkate akaila, jana nikamtuma
blue
band akala. leo nimetuma super glue,
saa hii
haongei.ujinga sipendi!..
Labels: All stories
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home