Prank πππ€
Nimeenda kuchota maji, kufika kwa tap nikapata wamama wawili na mitungi tano tano ikabidi nichoree,alafu nikawashow kuna ng'ombe imegongwa na gari na watu wanagawana, wakatoka mbioπππ but sijachota maji nimewafuata coz ile mbio wametoka nimeona nikama ni ukweliπππ€£π€£ππΉπΉπΉπππππ€Έπ€Έ
Labels: All stories, Love and social
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home