Sunday, July 24, 2022

πŸ˜‚πŸ˜‚ sleepover with synthia

 πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ 🀣🀣🀣🀣 

Dem yangu synthia jana alikam sleepover πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜˜πŸ˜˜ waaah πŸ™†β€β™‚οΈ πŸ™†β€β™‚οΈ sema kubambika πŸ˜‹πŸ˜‹ sasa dem akasema nimpee dooh aende anunue supper πŸ‘Œ πŸ‘ 😍  na saa hizo boychild akona mia tano plan ya wiki mzima πŸ˜”πŸ˜”πŸ€”πŸ€” dem naye anataka kunua nyama 1kg πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ  si nikampea iyo 500 bt kishingo upande 😬😬😬 wakati ametoka ati anaenda kwa butcher πŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ nikachange mavazi teketeke na mask , then nimfuata mbio πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ before afike butcher 😑😑 nikampiga ngeta na nikachukua iyo mia tano yangu then nikarudi kwa keja  mbioπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ nikachange kama kawaida 🀣🀣🀣🀣🀩πŸ₯°πŸ˜˜πŸ˜ kidogo ivi, ndo uyo dem anaingia akihema ati "uuui beb imagine nimeibiwa dooh ya sapa πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ nikamwambia " beb usijali huku ni kubaya . nikampea 50 bob ingine ilikwa apo juu ya meza aende abuy skuma ya fiftin na nyanya 🀣🀣🀣 shenzi sana

Labels: ,

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home