A form 3 student proposes to a teacher
A form 3 student aliamua kupropose kwa mwalimu wake wa English๐,,alikua mrembo๐๐...during class assignment aliandika love letter,,akaiweka kwa kitabu yake ya assignment... Alikua ameambia marafiki zake iyo story, so kila mtu aliingoja kuona reaction ya mwalimu wao,,,akiwa home anamark vitabu akaona ile letter...kesho yake alipeana zile vitabu bt hakureply ile barua๐๐..akamwambia amfuate kwenda staffroom๐๐ณ..marafiki zake wakamshw ile vita atagongwa na waalimu n mungu tu๐..kitu ya kushangaza ni kuwa wakati alifika staffroom yule mwalimu .......๐๐๐
Bundle zangu zimeisha...๐๐
Labels: All stories, Love and social
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home