TEMBEZA KUBWA KUBWA
Jana Jioni Nikitoka kuhustle Nlipanda matatu π Nikirudi home na venye Nilikuwa Nimechoka π΄π΄ Usingizi ikanichukua π΄ Nililala all the way Hadi Nikashtuliwa Kutoka Kwa Usingizi π² Kumbe ni Conductor alikuwa anaitisha Fare ππ Hapo ndipo Nikagundua sina Wallet Yangu π₯π Na Nakumbuka Vizuuuri nikiingia ndani ya Matatu Nlikuwa nayo ππ hapo ndio Nilikasirika π Nikasimama nikatangaza Hali ya Hatari β οΈβ οΈπΎ Nikasema kama ni wewe umechukua Wallet Yangu Tafadhali Nirudishie ama Nirudie Kufanya kitu Nilifanya 1997 π‘πΎ Kwa mara ya Kwanza 1 ,Mara ya pili2 maraaa yaaaaaaa......Hapo ndio jamaa mmoja akajitokeza haraka akanirudishia ππ na Akaniomba msamaha ππ After kulipa Fare na kutulia ndio mama flani hapo nyuma Akaniuliza "KWANI ULIFANYA NINI 1997 πππ "" Ndio Nikamjibu βΉοΈ """ SI NILIKANYAGA MGUU HADI NYUMBANI πΆπΆπΆπ
Labels: All stories
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home