The only way to know you are old
😇😇😇THE ONLY WAY TO KNOW YOU ARE💁🙋💔
OLD..!!!💔💔💔🧍
1. Kama unajua ulifanya Science ikiwa na Agriculture, na GHCRE... Wewe ni
mhenga.🙄🤦🤦
2. Kama ulicheki tv ukajua Inspekta Mwala ako na brother😜😜 anaitwa Likobe... Tafadhali usiulize nywele nyeupe inatoka wapi? 😏
3. Kama ulitumia 5bob, 10bob na 20bob ya noti😏💔💔 Anza kuandika will
mapema mapema. 😜
4. Kama ulipanda matatu zile👉👉watu huangaliana....Nani, kubali tu.🙈
5. Kama uliwatch tv channel inaitwa STV na👄👄😭bado unaandika X badala ya
S... Mboss maombi kwako!😶
6. Kama picha yako ya ID si coloured... We ni analogue. Na kama ID yako haiingi kwa wallet...Pea wengine nafasi wazaliwe bwana! 😏
7. Kama ulikunywa soda inaitwa Softa na Babito, na juice ya Tree Top...Uko
pale pale. 😜
8. Kama Primo ulifanya 8 subjects, deactivate your facebook account uanzishe familia.👨👩👧👧
9. Kama uliona kipindi ya Tausi🤪🤪Maria de Losangeles, na movie ya mbwa🤣🤣
ingine hapo inaitwa Rex....Shikamoo babu/ nyanya.🙉
10. Kama ushawahi pelekwa💞🤪👄date kwa hoteli mkasomea menu nje🙆💁👉Wewe na akina Ole Kaparo🙅🙅 na Ole Ntimama ni agemates.🙈
11. Kama unatambua zile era za kupigwa picha then unaingoja for🤳🤳
a whole month ndio itoke🧑🦯Mzeiya🧑🦯🧘 umekula chumvi, masala, chili etc.😝
12. Kama ulinunua tule tu biscuits twa round😢🥲😛 twa kuuzwa 50cent... Wewe uliona Noah akitengeneza Ark🤣🤣😭💔
13.kama umemaliza kusoma like na......
Labels: All stories
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home