BEI YA UNGA
Hii Bei Ya Unga kupanda Nimeona Nitaumia vibaya sana Coz mm Hupenda kula sanað Nikaenda Soko Kwa grocery Nika buy Mahindi Kilo Hamsiniâ Nikapeleka Kisiagi ð Na nikapita kwa vichorochoro Ndio NisionekaneâïžSisi maceleb Hatupendi Aibuðª Kufika Kisiagi, Watu ni wengi Kama Msafara wa Wajakoyað Mtu wa Kisiagi Nikampea Thao Akanisho Change Nitachukua baadae, Nikaanza kuzunguka Mtaa ili Nikute Nimesagiwa, Kutembea Kidogo Nikakutana Na Crushie, Tukaanza Mastori. Huku nikimchapia mistari, Mrasta fulani Akapita Amebeba Unga Na Gunia Ikafanana Na ile yangu Niliacha Kwa Kisiagið Sikumuuliza Ju Sikuwa Nataka Crushie Ajue Nilikuja Kisiagiðâ Bahati Mzuri Crushie Akanisho Anadai Kwenda, Ndio Nilirudi Mbio Kisiagi Nikakuta hadi kushafungwa, Nikafuata Yule Mrasta MbioðââïžKufika Kwao Nikakuta Ni baze ya mbogi genje ð, Wakaanza Kuniuliza Nimekujia nn, Nikawasho Nataka maji ya kunywað Wakanipa Ikabidi nirudi kwa plot, Huku nimeboeka Kama Wale wahenga Walikuwa wananusa Mavi ya kale Ndio Wajue kama yananukað Kufika kwa Keja Landlord Akaanza kuniitisha Rental, Ju ya hasira na sikuwa na pesa Nikamtumia 20bob Alafu Nika reverse, Saii amenifungia Nyumba, Nangoja Kuwe usiku Nivunje Mlango nitoe vitu zangu Niende kwetu Ushago........
Labels: All stories